\v=18 \v~=Siku hiyo \nd Bwana\nd* akafanya Agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri\f + \fr 15:18 \fq Kijito cha Misri \ft hapa ina maana \fqa Wadi-el-Arish \ft kwenye mpaka wa kusini wa Yuda.\f* hadi mto ule mkubwa, Frati, \¬v