\p \v=2 \v~=Lakini Abramu akasema, “Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina hata mtoto na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?” \¬v