\p \v=4 \v~=Ndipo neno la \nd Bwana\nd* lilipomjia: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.” \¬v