\p \v=6 \v~=Abramu akamwamini \nd Bwana\nd*, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki. \¬v \¬p