\p \v=9 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akamwambia, “Niletee mtamba wa ngʼombe, mbuzi na kondoo dume, kila mmoja wa miaka mitatu, pamoja na hua na kinda la njiwa.” \¬v \¬p