\p \v=13 \v~=Hagari akampa \nd Bwana\nd* aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.” \¬v