\v=14 \v~=Ndiyo sababu kisima kile kikaitwa Beer-Lahai-Roi,\f + \fr 16:14 \ft Beer-Lahai-Roi maana yake Yeye Aliye Hai Anionaye Mimi.\f* ambacho bado kipo huko hata leo kati ya Kadeshi na Beredi. \¬v \¬p