\v=2 \v~=hivyo Sarai akamwambia Abramu, “\nd Bwana\nd* amenizuilia kupata watoto. Nenda, ukakutane kimwili na mtumishi wangu wa kike, huenda nitaweza kupata watoto kupitia kwake.” \¬p \p \p~<