\v=5 \v~=Ndipo Sarai akamwambia Abramu, “Unawajibika na manyanyaso ninayoyapata. Nilimweka mtumishi wangu mikononi mwako, sasa kwa vile anajua kwamba ana mimba, ananidharau mimi. \nd Bwana\nd* na aamue kati yako na mimi.” \¬v \¬p