\p \v=7 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamkuta Hagari karibu na chemchemi huko jangwani; ilikuwa chemchemi ile iliyokuwa kando ya barabara iendayo Shuri. \¬v