\p \v=9 \v~=Ndipo malaika wa \nd Bwana\nd* akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.” \¬v