\p \v=15 \v~=Pia \nd Bwana\nd* akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wa Sarai mkeo, hutamwita tena Sarai bali jina lake litakuwa Sara. \¬v