\p \v=19 \v~=Ndipo Mungu akasema, “Ndiyo, lakini mkeo Sara atakuzalia wewe mwana, nawe utamwita jina lake Isaki.\f + \fr 17:19 \ft Isaki maana yake Kucheka.\f* Nitalithibitisha Agano langu naye kama Agano la milele kwa ajili yake na wazao wake baada yake. \¬v