\v=5 \v~=Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,\f + \fr 17:5 \ft Abrahamu maana yake Baba wa watu wengi.\f* kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi. \¬v