\p \v=13 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akamwambia Abrahamu, “Kwa nini Sara amecheka na kusema, ‘Kweli nitazaa mtoto nami sasa ni mzee?’ \¬v