\v=14 \v~=Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa \nd Bwana\nd*? Nitakurudia mwakani majira kama haya, naye Sara atakuwa na mwana.” \¬v \¬p