\p \v=22 \v~=Basi wale watu wakageuka wakaenda kuelekea Sodoma, lakini Abrahamu akabaki amesimama mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v