\p \v=26 \v~=\nd Bwana\nd* akasema, “Kama nikipata watu hamsini wenye haki katika mji wa Sodoma, nitausamehe huo mji wote kwa ajili yao.” \¬v \¬p