\p \v=33 \v~=\nd Bwana\nd* alipomaliza kuzungumza na Abrahamu, akaondoka, naye Abrahamu akarudi nyumbani kwake. \¬v \¬p \¬c