\p \v=16 \v~=Alipositasita, wale watu wakamshika mkono wake na mikono ya mke wake na binti zake wawili na kuwaongoza salama nje ya mji, kwa kuwa \nd Bwana\nd* alikuwa na huruma kwao. \¬v