\v=22 \v~=Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.\f + \fr 19:22 \ft Soari maana yake Mdogo.\f*) \¬v \¬p