\p \v=15 \v~=Maji yalipokwisha kwenye kiriba, akamwacha kijana chini ya mojawapo ya vichaka. \¬v