\v=15 \v~=“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha,\f + \fr 23:15 \ft Shekeli 400 za fedha ni sawa na kilo 4.5.\f* lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.” \¬v \¬p