\p \v=10 \v~=Ndipo huyo mtumishi akachukua ngamia kumi miongoni mwa ngamia za bwana wake, akaondoka, akiwa amechukua aina zote za vitu vizuri kutoka kwa bwana wake. Akaelekea Aramu-Naharaimu\f + \fr 24:10 \ft Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.\f* na kushika njia kwenda mji wa Nahori. \¬v