\p \v=22 \v~=Ikawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja\f + \fr 24:22 \ft Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5.\f* na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi.\f + \fr 24:22 \ft Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.\f* \¬v