\v=27 \v~=akisema, “Atukuzwe \nd Bwana\nd*, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuondoa wema na uaminifu wake kwa bwana wangu. Mimi nami, \nd Bwana\nd* ameniongoza safarini akanifikisha nyumbani kwa jamaa za bwana wangu.” \¬v \¬p