\v=3 \v~=Ninataka uape kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao, \¬v