\p \v=42 \v~=“Nilipokuja kisimani leo nilisema, ‘Ee \nd Bwana\nd*, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ikikupendeza, naomba uifanikishe safari niliyoijia. \¬v