\v=48 \v~=nikasujudu na nikamwabudu \nd Bwana\nd*. Nikamtukuza \nd Bwana\nd*, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, aliyeniongoza katika njia sahihi ili nimtwalie mwana na bwana wangu mke katika jamaa zake. \¬v