\p \v=52 \v~=Ikawa huyo mtumishi wa Abrahamu aliposikia waliyosema, alisujudu mpaka nchi mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v