\p \v=21 \v~=Isaki akamwomba \nd Bwana\nd* kwa ajili ya mke wake, kwa sababu alikuwa tasa. \nd Bwana\nd* akajibu maombi yake na Rebeka mkewe akapata mimba. \¬v