\v=26 \v~=Baadaye, ndugu yake akatoka, mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino; akaitwa jina lake Yakobo.\f + \fr 25:26 \ft Yakobo maana yake Ashikaye kisigino, au Atwaaye mahali pa mwingine, au Mdanganyaji, au Mwenye hila, au Mlaghai, au Mjanja.\f* Isaki alikuwa mwenye miaka sitini Rebeka alipowazaa. \¬v \¬p