\p \v=12 \v~=Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu \nd Bwana\nd* alimbariki. \¬v