\p \v=17 \v~=Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. \¬v