\p \v=19 \v~=Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi. \¬v