\v=20 \v~=Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki,\f + \fr 26:20 \ft Eseki maana yake ni Ugomvi.\f* kwa sababu waligombana naye. \¬v