\v=22 \v~=Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi,\f + \fr 26:22 \ft Rehobothi maana yake ni Mungu ametufanyia nafasi.\f* akisema, “Sasa \nd Bwana\nd* ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.” \¬v \¬p