\p \v=25 \v~=Isaki akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la \nd Bwana\nd*. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima. \¬v \¬p