\p \v=28 \v~=Wakamjibu, “Tuliona wazi kuwa \nd Bwana\nd* alikuwa pamoja nawe, kwa hiyo tukasema, ‘Inabidi kuwe na kiapo cha mapatano kati yetu, kati yetu na wewe. Na tufanye mkataba pamoja nawe \¬v