\v=33 \v~=Naye akakiita Shiba,\f + \fr 26:33 \ft Shiba kwa Kiebrania maana yake ni Saba.\f* mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba.\f + \fr 26:33 \ft Beer-Sheba maana yake ni Kisima cha wale saba, yaani wale kondoo saba ambao Abrahamu aliwatoa kama ushahidi kati yake na Abimeleki.\f* \¬v \¬p