\v=13 \v~=Juu yake alisimama \nd Bwana\nd*, akasema, “Mimi ni \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako. \¬v