\v=3 \v~=Mungu Mwenyezi\f + \fr 28:3 \ft Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).\f* na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu. \¬v