\p \v=33 \v~=Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Kwa sababu \nd Bwana\nd* alisikia kwamba sipendwi, amenipa tena huyu mwana.” Kwa hiyo akamwita Simeoni.\f + \fr 29:33 \ft Simeoni maana yake Anasikia, yaani sasa ataungana nami kama Raheli.\f* \¬v \¬p