\p \v=34 \v~=Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi.\f + \fr 29:34 \ft Lawi maana yake Nimeunganishwa, yaani na mume wangu.\f* \¬v \¬p