\p \v=35 \v~=Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu \nd Bwana\nd*.” Kwa hiyo akamwita Yuda.\f + \fr 29:35 \ft Yuda maana yake Sifa, yaani Nitamsifu Yehova.\f* Kisha akaacha kuzaa watoto. \¬v \¬p \¬c