\v=21 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama. \¬v