\v=22 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume. \¬v \¬p