\v=7 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi\f + \fr 2:7 \ft Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu.\f* ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai. \¬v \¬p