\p \v=8 \v~=Basi \nd Bwana\nd* Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba. \¬v