\v=13 \v~=Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri.\f + \fr 30:13 \ft Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.\f* \¬v \¬p